English Français Galego Kiswahili

Tux Paint Toleo Mpya 0.9.25

Programmu huru ya watoto sasa inaweza kutengeneza GIF, na maendeleo mengine

Tux Paint 0.9.25 slideshow dialog screenshot

(Olympia, WA, USA — December 28, 2020) Watengenezaji wa Tux Paint wana habari nzuri, toleo Tux Paint 0.9.25, toleo mpya ya programmu ya kuchora imepata zawadi na imependwa sana ni watoto.

Kifaa cha umbo, yaani Shapes tool, kimeboreshwa, unaweza kuchora kutoka katikati au kutoka pembe.

Kibodi cha uonyesho, yaani on-screen keyboard, inaweza kuonyesha vifaa vya kuandika na kutaja kwa ukubwa kama uonyesho ni kubwa; itasaidia watu wanachora au wanaandika na vifaa vya ingizo haina halisi nzuri.

Kuna kifaa cha kufuta yaani Eraser tool mpya ndogo, na ina kusaidia kufuta kwa njia nadhifu.

Kwa mwisho, kwa toleo hii unaweza kupata michoro moja kwa moja, na kupata michoro ya GIF, kuzitimia kwa mtandao na kutuma kwa marafiki.

Mchoro kwa faili ya GIF ya samaki ikiruka kutoka maji

Unaweza kupakua Tux Paint huru kutoka tovuti: www.tuxpaint.org.

Toleo 0.9.25 inaweza kutumiwa kwa Apple macOS, Android, Haiku, na kwa faili ya chanzo.

Kujua mabadiliko yote, soma Tux Paint batili ya mabadiliko, Tux Paint Usanidi. batili ya mabadiliko, na Tux Paint Stempu batili ya mabadiliko.

Kwa habari ingine, soma www.tuxpaint.org. Kujua vile unaweza kusaidia kutengeneza Tux Paint, soma: www.tuxpaint.org/help. Pia, tuko kwa Twitter, @TuxPaintTweets na kwa Facebook "TuxPaint" ukurasa wa Facebook ni

###


Mawasiliani

Marekani Kaskazini

Habari ya alama ya biashara: Apple, and macOS ni alama ya biashara zimelosajiliwa of Apple Inc. Facebook ni alama ya biashara imelosajiliwa of Facebook, Inc. Android ni alama ya biashara imelosajiliwa of Google LLC. Haiku ni alama ya biashara imelosajiliwa of Haiku, Inc. Twitter ni alama ya biashara imelosajiliwa of Twitter, Inc.

Habari imeandikwa ni: Bill Kendrick
Ilitafsiriwa na: Benson Muite


Anwani tovuti ya habari hii: http://www.tuxpaint.org/latest/tuxpaint-0.9.25-press-release-en.php